TTCL

EQUITY

Wednesday, December 17, 2014

Roboti zapata ajira mgahawani China



Hadimu hivi karibuni huenda wakakosa ajira maana roboti zimezinduka

Mgahawa mmoja nchini China umeanza kutumia Roboti badala ya kuwaajiri hadimu au wafanyakazi wa hotelini kuwapakulia chakula na vinywaji wageni. Hebu tazama mambo yalivyo...
Imeandaliwa kwa msaada wa  BBCC, Tazama hapa>>>>>
http://www.bbc.com/news/world-asia-30460737

No comments:

Post a Comment