TTCL

EQUITY

Monday, December 1, 2014

Obama ahimiza Kamera kwa Polisi


Rais Barack Obama wa Marekani amesisitiza matumizi ya Kamera kwa polisi nchini ili kukabiliana na ongezeko la vitendo vya mauaji kama ilivyotokea kwa kijana mwenye asili ya Kiafrika aliyeuawa na polisi nchini humo.

Obama amesema anahitaji kiasi cha dola million tano kwaajili ya ununuzi wa kamera kwa maofisa wab polisi 50,000 ambao watatumia kamera hizo wakiwa doria.
Tangazo hilo amelitoa mara alipokutana na viongozi pamoja na wanaharakati waliokutana kufuatia maandamano yanayopinga hatua ya kutomfungulia mashataka polisi aliyemuua kijana wa Kiafrika.
Hata hivyo kwa mjibu wa Rais Obama kiasi cha dola 263 kutumika ndani ya miaka mitatu katika kuboresha mahusiano baina ya raia na polisi.

No comments:

Post a Comment