TTCL

EQUITY

Tuesday, November 25, 2014

VIPAJI NI ZAIDI YA ELIMU,

Mwenye kipaji anaujasiri mkubwa kuliko mwenye elimu, hawa wawili ni dhahiri wanatofautiana sana. kiutendaji mwenye kipaji haoni geni, hajui kushindwa bali kukosea kwake ni kujifunza, lakini msomi akikosea utamsikia akisema "kuna kanuni tulifundishwa imenitoka kidogo" hasa mtu kama huyu kwake kujaribu kuna mshusha hadhi, maranyingi hujiona wenye ujuzi na maarifa kuliko mwenye kipaji. Clip hii inadhirisha haya nisemayo, na kwakujieleza kwake kijana huyu kumenigusa kusema yote haya.
kimsingi tunapaswa kuwa rafiki na watu kama hawa ikiwa wewe ni mwenye ujuzi wakusomea lakini yeye kwake ni kipaji.

No comments:

Post a Comment