TTCL

EQUITY

Tuesday, November 25, 2014

FLAVIAN MATATA AGOMA KUMTAJA SHEMEJI YETU


 FLAVIANA MATATA aliyekuwa Miss Tanzania anye jishugulisha na maswala ya model ambaye pia ni mmiliki wa FLAVIAN MATATA FOUNDATION (BACK TO SCHOOL PROJECT) iliyofadhiliwa na mfuko wa Pensheni (PSPF) ambapo inasaidia vifaa vya shule kwa zaidi ya wanafunzi 1000. ameripotiwa kuwa amechumbiwa, amepata mchumba. lakini hajamweka wazi mchumba wake.

Flavian matata foundation-kisarawe (21 of 152)
fmf3
Flavian matata foundation-kisarawe (28 of 152)
fmf