TTCL

EQUITY

Sunday, November 30, 2014

DIAMOND PLATNUMZ BADO GUMZO...!!


Hahaha muzeee wa project a.k.a msaniii bora East africa A.k.a ngazi ya waliopotea amechaguliwa kwenye Le project mpya ya We are the world africa

Project hiyo imewashirikisha wasanii wote bora kutoka Afrika ,kwa kutambua uwezo nafasi ya Dai hawakusita kumchagua.....

Tokea kuisha kwa fiesta haya ndio matukio makubwa aliyofanya Dai huku wale wasanii wa fiesta wakisubiri mwakani msimu wa fiesta uanze..

1. Kupiga shoo zaidi ya 15 hapa tz na nje
2. Kuperfom kwenye Big brother
3. Kutoa nyimbo mpya yenye Video kali saana
4. Kuvunja rekodi za youtubemkito.com na Mziiki.com
5. Kutoa nyimbo na msanii kitoka Nigeria "Waje"
6. Kuujaza uwanja(stadium) Iringa yeye mwenyewe
7. Kuchaguliwa kwenye Project ya We are te world Afrika
8. Jana Kuingia Kwenye Jumba la Big Brother Kupiga Mastori na Washiriki
9. Leo Kupiga Show Ndani ya Jumba la Big Brother
10. Still Counting.....!!!