TTCL

EQUITY

Sunday, October 19, 2014

HALIMA MDEE APOKEWA NA MAMIA VIWANJA VYA FURAHISHA MWANZA JANA


Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Chadema, Halima Mdee, akipeana mikono kusalimiana na wafuasi wa Chadema baada ya kumaliza kuwahutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Furahisha jijini Mwanza jana. 



Mbunge huyo mara baada ya kumaliza kuwahutubia wafuasi wake, aliwatangazia kuanza kutoa chochote kitu ili kuchangia na kumwezesha Mbunge huyo kuweza kuendelea na ziara za mikiani ili kufanya mikutano kama huo, ambapo walijitokeza na kuchangia kila mmoja kwa alichonacho.

No comments:

Post a Comment