Katika hali iliyoshangaza wengi,beautiful onyinye mwenye endless
fame mnyange Wema Sepetu amesema watu wengi wanaomsema kwenye mtandao
they don’t have life na wengi wao wanatumia Tecno na Huawei kulog in
kwenye mitandao ya kijamii na kuanza kumponda, akichezesha taya na
Ephraim Kibonde katika kipindi cha jahazi amesema watu hao hawampi shida
hata kidogo kwani wamepigika na yupo juu zaidi yao.
My Take:Hivi Sister wema hizo simu ulizozidharau unazijua vizuri
kweli? Hivi unaweza ku-compare features za Huawei Ascend P7/Tecno H7 na
Samsung Gallaxy S4?
No comments:
Post a Comment