TTCL

EQUITY

Friday, April 11, 2014

LEO NATAKA UNIAMBIE JE, KUNA UKWELI WOWOTE KWAMBA MAKALIO NI ASSET KUBWA KWA MWANAMKE KULIKO SURA ?



Nimekuwa nikiona picha mbali mbali za wadada wakiwa wanapiga huku wamebinua makalio huko Instagram mpaka nafika najiuliza siku hizi 
makalio ndio chat ? Pia naona Wadada mbali mbali wanapata umaarufu tu eti kwa sababu ya makalio ..kama dada yetu Agness masogange kila kukicha anasifiwa makalio .
Je siku hizi ni Deal kuliko Sura?


No comments:

Post a Comment