TTCL

EQUITY

Friday, April 11, 2014

DIAMOND SI WA TANZANIA TENA NYOTA YAKE YAZIDI KUNG'ARA WEMA SEPETU NA MGANGA WAKE WAENDELEA KUTAJWA KAMA CHANZO CHA MAFANIKIO HAYO ANGALIA HAPA MWANAMUZIKI!


Hivi karibuni Diamond Platnumz atasikika kwenye wimbo wa wasanii wakubwa wa Nigeria, Don Jazzy, Waje na Dr Sid waliomshirikisha kwenye nyimbo zao alipokuwa nchini humo mwezi huu.Staa huyo amezungumza na xdeejayz kuhusiana na jinsi alivyokutana na wasanii hao.

“Wakati nipo Nigeria nimebakiza siku moja kurudi wakaniemail wakaniambia ‘Mavin Records, Don Jazzy na Dr Sid wangependa kufanya kazi na wewe kama bado upo Nigeria,” Diamond ameiambia xdeejayz. “Niliona ni jambo zuri kufanya kwasababu Don Jazzy ni mtu mkubwa na ukiangalia industry ya muziki ni mtu ambaye ana sehemu yake. So nikakaa na uongozi wangu nikawaambia ‘nimepata email kutoka kwa Don Jazzy anasema anapenda kufanya kazi na sisi. Basi nikawa link na menejimenti yangu wakazungumza wakapanga vitu vyote vinavyotakiwa tukaenda tukafanya,” ameongeza.
   
Amesema katika wimbo huo wa Dr Sid, Don Jazzy ambaye ndiye producer naye ameweka sauti yake. Hata hivyo Diamond amesema wimbo alioshirikishwa na Waje ndio alioupenda zaidi na kwamba utakuwa moto wa kuotea mbali. 
 Hata hivyo habari zaidi toka kwa watu wa karibu na 
Diamond wameendelea kusisitiza kuwa mafanikio hayo anayoyapata Diamond yanatokana na mganga wake pamoja na Wema Sepetu Mganga huyo anaepatika kwa simu 
 0788-844490 Mkoani Tabora.
 
 Mgangaa maarufu wa wasanii wengi nchini DK Kamdege

No comments:

Post a Comment