TTCL

EQUITY

Tuesday, December 3, 2013

LOWASSA JEMBEE... AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA MAENDELEO YA WANAWAKE NA WATOTO MASASI...MILIONI 103 ZAPATIKANA


Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza wakati alipokuwa akiongoza harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Anglikana Dayosisi Mtandi Masasi, mkoani Mtwara jana. Jumla ya Sh103 milioni zilichangishwa kwenye harambee hiyo. 
Askofu Msataafu wa Dayosisi ya Mtandi Masasi, Oscar Mnung'u akisalimu waumini.

No comments:

Post a Comment