TTCL

EQUITY

Tuesday, December 3, 2013

IZZO B; NAMACHUNGU SANA NIKIKUMBUKA MALI ZANGU



Rapper na Mjasiriamali Emannuel Simwinga aka Izzo Bizness hivi karibu alipata hasara kubwa kwenye Internet Cafe iliyopo Mkoani Mbeya,baada ya wezi kuvunja na kuiba vifaa vya internet Cafe vikiwemo Computer sita zinazogharimu jumla ya shillingi za Tanzania 2,700,000.

No comments:

Post a Comment