TTCL

EQUITY

Wednesday, December 18, 2013

DAR EXPRESS LAPINDUKA DEREVA NA KONDA WANUSURIKA KIFO, IMETOKEA MAENEO YA KIJIJI CHA MANGA MKOANI TANGA


 BASI lenye namba ya usajili T848 ASZ lilipinduka baada ya kuacha barabara na kuingia vichakani wakati lilipokuwa likivutwa baada ya kuharibika, Ajali hii ilitokea katika kijiji cha Manga Mkoani Tanga barabara ya kutoka Dar kuelekea Tanga, Inasemekana halikuwa na abiria yeyote ni Dereva na Konda tu ndio waliyonusurika kifo katika ajali hiyo.


No comments:

Post a Comment