TTCL

EQUITY

Wednesday, December 18, 2013

ANGALIA USITOE CHOZI: Wanafunzi Matajiri Duniani Wanaotumia Magari ya Kifahari Waendapo Chuo.Picha zaidi ya 28 ziko Hapa.

 
Fanya kama unataka kupima uwezo wa wanachuo wa American University of Dubai, kwa mtindo huu, wanachuo hapa hawaendi kusoma sababu wanataka elimu iwatajirishe.


Mwanachuo mmoja aitwaye Meeka Nasser alitaka kuuonyesha ulimwengu aina ya magari makali na ya kisasa ambayo wanachuo huwa wanayanapaki chuoni hapo, hivyo akaamua kupiga picha chache kwa ajili ya yetu.

Alisema: "Nimesoma American University of Dubai, magari ambayo wanachuo wanaendesha hapa ni makali sana. Kama ningekuwa nipo nyumbani Canada, hakika gari langu lingehesabika kuwa ni zuri, ila hapa hakuna anayeliangalia mara mbili."

Jibariki kwa kuangalia baadhi ya magari hapo chini.

No comments:

Post a Comment