TTCL

EQUITY

Wednesday, November 27, 2013

SIO JAMBO LA MASIHALA KUCHEZA NA MNYAMA MKALI KAMA HUYU (TIGER)... MMOJA AUMIZWA VIBAYA SHINGONI

David Styles  hakujua kama kunasiku atakuja wachukia wanyama...
Hilo lilitokea baada ya David Styles kujeruhiwa vibaya na moja ya wanyama aliokuwa akiwapenda sana na si mwengine ni mnyama Tiger... 
Sasa tazama hapa... 
 
Frantic: A team of six paramedics work on Mr Styles in an attempt to stabilise him before being transferred to hospital
Mmoja ya watu waliokuwa katika mafunzo ana alikuwa akicheza na tiger huyo akiwa ameokolewa muda mfupi kabla ya kupelekwa hospitali.

Emergency evacuation: Mr Styles is carefully loaded into a waiting air ambulance to be flown to hospital
 Ndege ya Dharula ikiwa inampeleka hospitali

Tragic: David Styles has worked with big cats for nine years but suffered horrifying injuries in the attack today
 David Styles  aliye umizwa vibaya na mnyama huyu shingoni amekuwa nae kwa muda mrefu lakini sasa kamfanya vibaya

Crocodile Hunter: Steve pictured in 2004 with a Sumatran tiger cub, the quirky conservationist was known for getting up close with the animals
 Mnyama huyu 2004
Rushing to the rescue: Mr Styles colleagues can be seen beating the animal with a large stick as they try to pull him to safety 
 David Styles  akiwa anaokolewa na wenzake baada ya kuumizwa vibaya na mnyama Tiger

Dragged to safety: The attack took place by the edge of the water, witnesses said it looked as if the animal was trying to drown his handler
 David Styles  akiendelea kuokolewa huku Tiger huyo akionekana mwenye hasira
 
In pursuit: The tiger, who was raised at the zoo in Brisbane, gives chase as the four men run for safety David Styles baada ya kuokolewa na tiger huyo, akawageukia wale jamaa 4 wanao onekana katika picha ...  na wao kujiokoa kwa kukimbia

Bravery: Australia Zoo director Wes Mennon commended the other zoo keepers for behaving 'professionally and calmly'
Bado wanakimbia huku Tiger akiwafuata kwa hasira
 
Brave: It has been reported that Mr Styles colleague, pictured here with a Sumatran tiger named Kaitlyn, helped rescue him from the tiger enclosure
David Styles  enzi hizo anacheza na Tiger huyu

Daring displays: A handler feeds a tiger at Steve Irwin's Australia Zoo, which is home to three Bengal and eight Sumatran tigersDavid Styles  anaendelea na michezo asijue ipo siku mambo yatakua sivyo

Hata hivyo David Styles hakujua kama ipo siku haya yatakuja kumtokea , na ndipo siku yake ilifika ambapo Tiger huyo alimjeruhi vibaya Shingoni akizani ni kitoweo..

No comments:

Post a Comment