TTCL

EQUITY

Friday, November 29, 2013

KIJANA MDOGO HUYU ANATAFUTA UMAARUFU KUPITIA WATU MAARUFU KAMA SISI...! HIO NI KAULI YA SHILOLE KWA....


Nakomaa na jiji ndiyo nyimbo yake inayofanya vizuri katika radio station pamoja television hapa nchini. Muite Shilole Kiuno ambae pia ni staa wa tasnia ya filamu.

Shilole ambae aliulizwa kuhusu Suma Mnazaret kuimba katika nyimbo yake ya Umechelewa aliyoshirikiana na Richard na katika wimbo huo suma alisema"Eti umeenda marekani soon utafanya nyimbo mpya na Jlo kwa muziki gani wewe umechelewa"

Shilole alisema"Kijana mdogo huyu anatafuta umaarufu kupitia watu maarufu kama sisi.Hivyo sina time ya kumjibu chochote aendelee kujipanga kivingine.

No comments:

Post a Comment