Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi WILLIAM LUKUVI amewataka
wahusika wote watakaoshiriki katika mradi utakaowezesha umilikishaji
ardhi kwa wananchi wafanye hivyo kwa ufanisi ili watanzania wanufaike na
rasilimali hiyo
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa umilikishaji
ardhi jijini DSM, Waziri LUKUVI amesema kukamilika kwa mradi huo
kutasaidia kupunguza migogoro ya ardhi nchini.
Mradi huo kwa sasa umeanza kutekelezwa katika wilaya za KILOMBERO na ULANGA mkoani MOROGORO.
No comments:
Post a Comment