Mbunge
wa jimbo la Iringa mjini, Mh. Peter Msigwa amepishana kauli na Mkuu wa
Wilaya Iringa, Richard Kasesela, kwa madai yakuwa amekuwa akimsema
vibaya kwa kutoshiriki vikao mbalimbali vya Halmashauri ya Iringa mjini
kufuatia kutokea kwa maafa, itazame hapa chini
No comments:
Post a Comment