TTCL

EQUITY

Wednesday, December 9, 2015

RAIS MAGUFULI AWAONGOZA WATANZANIA KUFANYA USAFI KATIKA KUSHEREHEKEA MIAKA 54 YA UHURU WA TANZANIA BARA LEO

HAPA KAZI TU ya  Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe  Joseph Magufuli  ikiendelea kufanyiwa kazi kama Rais  huyo akionekana katika picha akiwa akifanya usafi leo jijini Dar es Salaam.
Wananchi wa maeneo ya feri na kigamboni wakishirikiana na Rais Dkt. Magufuli ktk kufanya usafi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza kero za wavuvi baada ya zoezi la usafi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiokota taka taka katika eneo la ufukwe wa ferry jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment