Huyu ndio Mzazi mzaa chema.....!

Linah akiwa na baba na mama yake
Lulu na mama yake
Wema na mama yake

Monalisa na mama yake

Shilole na mama yake
Jokate na mama yake
Naamini kila mtu anawapenda wazazi wake, kwa sababu ndio wametuleta duniani na pengine wamechangia mafanikio yetu. Leo tumeamua kukuletea picha za baadhi ya wasanii wa hapa kwetu Bongo wakiwa na wazazi wao.
Picha hizi ni za wasanii saba tofauti wengine wakiwa wa muziki na wengine waigizaji, tulichogundua ni kwamba wengi wa wasanii hawa hawajapiga picha na baba zao, ni mmoja tu kati ya nane ndo kapiga picha na Baba & Mama yake.
No comments:
Post a Comment