Jana Msanii Daimond alifanya party kusherehekea siku yake ya kuzaliwa
katika ukumbi wa Golden Jubilee ambapo wadau na wasanii mbalimbali
walikuwepo.Hizi ni baadhi ya picha za tukio lenywe.
Daimond,Guru na Wema Sepetu
Msanii Queen Darleen ambaye pia ni dada wa msanii huyo na Guru a.k.a G Lover.
Produza Sheddy Clevel aliyetengeneza wimbo wa 'Number One' na Guru
Tuddy Thomas na Guru
No comments:
Post a Comment