
1. Kwa mujibu wa scientificamerican.com, Mende anaweza kuishi kwa siku TISA bila kuwa na kichwa.
2. Kuna aina ya samaki aitwae STARFISH ambaye samaki huyo hana UBONGO. Kwa mujibu wa Wikipedia.
3. Katika misuli ya binadamu, msuli ambao unafanya kazi nyingi na ni imara kuliko yote ni ULIMI kwa mujibu wa livescience.com
4.
Tembo,kiboko na kifaru ndio mnyama ambao hawawezi kuruka juu. Hapa
kuruka ina maana kuwa na miguu yao yote juu. Kwa mujibu wa listverse.com
No comments:
Post a Comment