Kumezuka tabia ya watu
kufanya mambo yaliyo kinyume na maadili katika fukwe za bahari
(Beach),vitendo hivyo ni utumiaji wa madawa ya kulevya, ufutaji wa
bangi, ulevi wa kupindukia mbaya zaidi ongezeko la vitendo vya NGONO
(kurana URODA) tena mchana kweupe bila uwoga wowote
No comments:
Post a Comment