Wanachama wa Chadema, wakitwangana nje ya Mahakama Kuu, jijini Dar es Salaam.
Jaji
John Utumwa alisitisha kutoa hukumu hiyo mpaka siku ya Jumatatu saa
4:00 asubuhi.Hata hiyo baada ya Jaji huyo kuahirisha kesi hiyo, nje ya
Mahakama hiyo kulikuwa na vurugu kubwa baada ya kundi linalo unga mkono
maamuzi ya Chadema kutwangana na kundi linalo muunga Zitto Kabwe.
Mwanachama wa Chadema, anayepinga hoja za Zitto Kabwe, akimtwanga mfuasi wa Zitto Kabwe.
Kesi hiyo ilifunguliwa jana na wakili wa Mbunge huyo Albert Msando huku wakili wa Chadema Tundu Lissu akiweka pingamizi,hata hivyo Jaji John Utumwa wa Mahakama hiyo alitupilia mbali mapingamizi yote yaliyowekwa na Tundu Lissu,
No comments:
Post a Comment