Masista duh na warembo wengi
ndio washiriki wakubwa wa mambo ya kiganga na dawa za mapenzi
ukilinganisha na wasichana wenye sura za kawaida.
Pia utafiti usio rasmi unaonyesha kuwa
wanawake warembo ndio wanaoongoza kwa kugombea mabwana kulinganisha na
wale wasio na sura zenye wingi wa vikwerombwez
No comments:
Post a Comment