HIVI NI VIJIMAMBO KWELI KWELI..!! HATA KAMA NDIO UFUNDI NDIO MTU UBONG'OE HIVI..!!
Wapita njia wengi walijiuliza kweli huyu mtu kaharibikiwa na gari au
labda ana mpango fulani kwani huyu dada alibong'o hapo kwa muda mrefu
sana huku akijifanya yuko busy kweli kweli na ufundi.
No comments:
Post a Comment