NATOA POLE KWA MTOTO HUYU ALIYEUMIA JANA WAKATI AKIJARIBU KUPATA NAFASI YA KUNIONA
Napenda nitoe pole za dhati kabisa kwa binti huyu
mdogo,aliyepata
majeraha usoni wakati akijaribu kupata nafasi ya
kunishuhudia..yote ni kutokana na msongamano mkubwa wa watu uliokuwepo..
NAWAPENDA MASHABIKI WANGU..NAWAPENDA SANA WATOTO WOTE
No comments:
Post a Comment