Zamani
haikuwa hivi maadili yalizingatiwa miiko na tamaduni za jamii husika
ziliheshimika mkubwa kwa m,dogo alimheshimu mkubwa mwenye nacho
alimheshimu asikuwanacho lakini pia hakukuwa na matukio ya ajabu kama ya
siku hizi ambayo kiukweli yanashangaza hata...
kuzama wakati mwingi ni aibua hata kuweka sehemu kama hii lakini kwakuwa
nia ni kukemea hawa watu wenye matukio ajabu kama haya .Ndugu tunaomba
wale wote wenye tabia kama hii jaribuni kuangalia kesho utakuwa wapi
usijisaha kwa kuna mabadiliko yako ya siku ya kesho
No comments:
Post a Comment