TTCL

EQUITY

Thursday, November 14, 2013

FAIDA ZA KWENDA SWIMMING KWA WAREMBO ZIKO HAPA.

http://theclicktz.blogspot.com/
 
Swimming ni kati ya mazoezi mazuri sana, kwani hufanya mwili uwe fit kwa ujumla na pia ni zoezilinaloshirikisha viungo vingi mwilini. Pia hufanya ngozi kuwa yenye afya na nyororo, Swimming huondoa stress na mawazo yasiyo ya msingi.

No comments:

Post a Comment