TTCL

EQUITY

Sunday, March 10, 2013

HISTORIA HUJIRUDIA

Kwani vipaji / fani hufunzwa ama twazaliwa navyo?

Hayati Mzee Jomo Kenyatta na mwanae Uhuru kenyata

Baba na Mwana Bush waliopishana vipindi viwili vya Urais Marekani





Hayati Abeid aman Karume akiwa na mwanaye Aman Abeid Karume




Hayati Laurent Kabila na Mwanaye Joseph Kabila

Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda sasa kutokana na ukweli kuwa sina hakika kama watu wa familia moja hufanya mambo yanayofanana kwa kuwa yapo ndani ya damu ama kwa kuwa kuna mwongozo mzuri na wa manufaa toka kwa mwanafamilia mwingine ameonesha njia katika hilo?
Unawakumbuka kina Njohole kwenye soka, Uvuruge kwenye muziki na wengineo wengi?

No comments:

Post a Comment