TTCL

EQUITY

Thursday, January 8, 2015

UNAAMBIWA SASA UNAWEZA KUFUNGA BEGI LAKO KWA SIMU YA MKONONI BADALA KUFULI ILI USIIBIWE UKIWA SAFARINI

Locker IIKuna ile tabia ya wizi wa mabegi ambao hutokea mtu akiwa safarini, zile za mtu kufungua begi lisilo lake, zote hizo dawa yake ni hii teknolojia ya eGeeTouch.



Smart Luggage Lock inafanya kazi kwa kutumia App inayowekwa kwenye smartphone augadget, ili kufungua utakachokifanya ni kuswipe simu yako juu ya lock hiyo.

Kampuni iliyotengeneza kifaa hicho imesema imeamua kutengeneza kifaa hicho badala ya kufuli kwa kuwa kufuli inaonekana kama matumizi yake ni mtindo wa kizamani kwa wasafiri na pia hii huongeza  usalama zaidi.

Microsoft Word - eGeeTouch_CES Unveiled New York_Immediate Release v2
Mtumiaji anayetumia lock hiyo lazima akumbuke alivyoswipe na iwe siri yake pia kama ilivyo kwa matumizi ya password, lock ina battery ambayo inakaa na chaji mpaka miaka mitatu, pia unaweza kuichaji kwa kutumia waya wa USB.

Unadhani hii kwa Bongo inaweza kusaidia?Tazama picha zake hapa
246F0C2F00000578-2898591-image-m-9_1420539337397 (1)
Hii ndio lock yenyewe ya eGeeTouch.
246F0C2700000578-2898591-image-a-7_1420539300164
Locker IV
Locker

No comments:

Post a Comment