TTCL

EQUITY

Sunday, November 30, 2014

Wanyamapori kama hawa ni urithi wetu tuwatunze

Picha inawaonesha wanyamapori maarufu kwenye mbuga za wanyama za Tanzania kama vile Mikumi,Serengeti,Selous pamoja na hifadhi nyingine ambao wamekuwa ni kivutio adimu cha watalii wa ndani na nje ya nchi .Wanyama hawa wanachangia pato  la Taifa kutokana na viingilio vya watalii.

No comments:

Post a Comment