TTCL

EQUITY

Saturday, November 29, 2014

SPIKA WA BUNGE ANNA MAKINDA AWASHAURI WABUNGE KUTORUBUNIWA NA FEDHA KISHA AHARISHA BUNGE HADI JANUARI 27, 2015



Makinda: Watu wenye mapesa yao wanaokuja kuwarubuni humu ndani kataeni mkiendekeza mchezo huu mtajikuta mko ndani wote

Makinda: Hakuta kuwa na huruma wala kinga ya Bunge, mtawekwa ndani na ubunge wenu utakwisha, kuweni makini na hawa matajiri

Makinda: Bunge limeahirishwa hadi Tarehe 27, January 2015.. Wabunge wanatawanyika wakiwa wamoja

No comments:

Post a Comment