TTCL

EQUITY

Saturday, October 18, 2014

Sean Kingston kufanya projecti na AY kumemfurahisha mama yake

Kama tulivyoripoti mapema kuwa Ay yupo Marekani ambapo amekwenda kufanya video na Sean Kingston, Pia kwenye interview niliyofanya nae ameniambia anampango wakufanya wimbo mwingine na msanii mkubwa kutoka huko.

Hii ni twit ya mama yake Sean Kingston 'Janice Turner' kuhusu ujio wa wimbo wa Ay na Sean Kingston.


No comments:

Post a Comment