TTCL

EQUITY

Saturday, October 25, 2014

Mtu mmoja akamatwa na Mabomu manne ya Kivita,Zanzibar.


Jeshi la polisi zanzibar limefanikiwa kumkamata mtu mmoja akiwa na mabomu manne ya kivita ambayo yanasadikiwa ni miongoni mwa mabomu yanayotumika katika vitendo vya uhalifu yaliyotokea sehemu mbali mbali nchini.
Kamishna wa jeshi la polisi zanzibar CP Hamdani Omar Makame amethibitisha kukamtwa kwa mtu huyo ambaye kwa Mujibu wa jeshi hilo mtu huyo amekiri kuwa anajishughulisha na  mtandao  wa kuagiza,kuingiza  na kuhifadhi  mabomu yakivita ya kurushwa kwa mkono na mabomu hayo yalikuwa matano na polisi  wamesema huenda moja ya hilo likawa ndilo lilotumika Darajani huku kamishna amemsmea mtandao huo unausihw na matukio kadhaa.
 
Hata hivyo akmishna Hamdani Maka amesema kukamtwa kwa mtuhumiwa huyo ambaye hatahivyo amekataa kumtaja jina na mazingira yaukamataji wake  amemsmea hahusiani na imani ya kidini na polis inamshughulika mtu kisheria  kutokana na kosa  lake  kwa mujibu wa sheria za nchi nasiyo Imani za kidini.
 
Wakati polis imekataa kutoa taarifa yeyeote kuhusu mtuhumiwa huyo jeshi hilo limesema hakuna kosa lolote la kisheria endapo  mtu akipelekwa nje yaznazibar kwakosa la ugaidi huku akisema bado polisi ianedelea na upelelezi  wa tukio hilo kama ni la zanazibar  au la ama ni mtandao waugaidi wa nchi nzima.

No comments:

Post a Comment