TTCL

EQUITY

Monday, December 30, 2013

WANAFUNZI WAANDAMANA KWENDA KUMUONA LOWASSA AWASAIDIE KUTATUA TATIZO LA MIKOPO VYUONI

Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akisikiliza malalamiko ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo kikuu cha Mount Meru ambao alimfuata Mh Lowassa nyumbani kwake Monduli kumpa kilio chao cha kucheleweshewa mikopo ya masomo na kuwafanya kuwafanya kutokujua hatima yao.

No comments:

Post a Comment