Mtangazaji Maarufu Mtanzania aishie Uingereza Charles Hillary aliyewahi kusikika sana BBC London hata kupitia Radio One sasa anarudi nyumbani Tanzania na kujiunga na kituo cha Televisheni cha Azam ambapo mhariri wa BBC Afrika Dar es salaam Solomon Mugera aliwaambia wafanyakazi wake kuhusu kuondoka kwa Hillary.
Naibu Mtendaji mkuu wa Azam Tido Muhando alithibitisha Hillary kutarajiwa kujiunga na Azam Media akiwa na historia nzuri kwenye vyombo vya habari kuanzia alipoanza mwaka 1994 Radio one na kabla ya hapo alitokea radio Deutsch Welle na mwaka 2006 alijiunga na BBC, huu ni uzalendo wakipekee. ninapenda kuwapongeza Bwa. Tido Muhando na Charles Hillary
No comments:
Post a Comment