TTCL

EQUITY

Tuesday, December 16, 2014

Staa huyu tayari ana zawadi yake ya Christmas.. Ameshare picha ya zawadi hiyo Instagram

Staa Huddah Monroe tayari ana zawadi yake, very special ndani ya December hii ambapo hajawa mchoyo, kashare na sisi picha ya zawadi yake kupitia Instagram zawadi aliyopatiwa na mpenzi wake.
Ameweka picha ya zawadi pamoja na ujumbe huu; “Ombea adui yako aishi siku nyingi . Ili unapo barikiwa ajioneeeee!…. No one can block the blessings that God has planned for you because Who Jah bless , no man curse! This is a GIFT from GOD! MY Aphrodisiac,My Dime Piece, my Husband, . Christmas just came early! #Thankful!. #RangeRover #Anon #SexOnWheels #Blessings #BossChick!“– @huddahthebosschick.
huddah IIhuddah

No comments:

Post a Comment