MAMBO YA CHRISTMASS MBEYA,HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA..FULL KUMWAGA RADHI...
Katika
kusherehekea sikukuu ya Christmas, mambo yamekuwa ndivyo sivyo ndani ya
jiji la Mbeya,hawa ni kanga moko wakifanya yao ndani ya ukumbi wa
E-Point uliopo ndani ndani ya jiji la Mbeya maeneo ya Sae stendi,mimi
sisemi mengi tazama jinsi ambavyio wanamwaga radhi.
Haya ndiyo mambo yenyewe karibu kwenye klabu ya maraha E-point Sae Mbeya ni kila Jumatano,Jumamosi na Jumapili.