kwenye scene hii anaonekana camera man
kwa mbali ukiangalia kwenye viio vya nyumba io ni baada tu ya wazee wao
kurudi kutoka Zanzibar
....
Wakati Ray anaongea na mpenzi wake wa
siri wakati mpenzi wake huyo akiogelea huku akimueleza Ray historia
yakeya maisha kwa ufupi.....
Wakati Ray amepigiwa simu na
mwanasheria wake kwamba anatakiwa aende ili aelezwe jambo fulani
alilolifanya mama yake..... picha ya upande wa kulia inaonesha ray
akiongea..... na kwa nje utaona ukuta mrefu na mweupe lakini shot ya
pili yani baada ya sekunde tu inaonesha yupo sehemu nyingine kabisa
lakini akiendeleza mazungumzo yale yale.