Embu niambieni bandugu mnapendelea mwanamke wa aina gani kati ya hawa unapotongoza?
1) Yule ambaye anakukatalia na kujibu kashfa na matusi huku akifoka unapomtongoza?
2) Msumbufu na umempata baada ya kumfuatilia kwa muda mrefu bila kukata tamaa?
3) Kigeugeu mara ndio au nimebadili mawazo au mpaka uje kwa wazazi?
4) Anakubali lakini No sex mpaka tuoane?
5) Maharage ya Mbeya Ukigusa tu yupo tayari kwa lolote iwe kufanywa kimada wa pembeni, kuchezewa au kuolewa.
Mimi binafsi napendelea sana No 2.
Unajua mwanamke akinipa tabu sana siku ya kuja kumpata ntamthamini zaidi
na ndio atakuwa mwepesi kwa mimi kutangaza ndoa kwake.
Wa aina hii ananipa matumaini ndani ya moyo kwamba anayejaribu kumchukua kwangu naye itabidi apitie tabu niliyopitia mimi.
No comments:
Post a Comment