Sanduku la Babu ambayo ni comedy ya msanii maarufu wa vichekesho
akijulikana kama Joti. Ndani ya hii movie Joti amefanya kazi na Mjomba
Nishai, Mzee Mpauko pamoja na Aunt Tausi.
Kupitia ukurasa wa Joti wa Facebook alidai kwamba “Muda si mrefu utakuwa
nayo nyumbani kwako. Kwa wale ambao mngependa kununua kupitia mtandaoni
niandikieni e-mails zenu”.
No comments:
Post a Comment