TTCL

EQUITY

Wednesday, December 25, 2013

BREAKING NEWZZZ!!!! KOCHA SIMBA AFARIKI DUNIA....

James Kisaka enzi za uhai wake
Aliyekuwa kocha wa makipa wa Klabu ya Simba, James Kisaka amefariki dunia leo asubuhi katika Hospitali ya Burhan, Dar es Salaam.

Kisaka aliyewahi kuwa kipa wa timu hiyo miaka ya nyuma, alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya kichwa, macho na miguu kwa muda mrefu.

Tunatoa pole kwa ndugu, jamaa, marafiki na wapenzi wote wa soka kwa msiba huu! Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, AMEN!

No comments:

Post a Comment