TTCL

EQUITY

Friday, May 20, 2016

Mijadala ya Bunge kutoka Dodoma leo Mei 20


SIMU.TV: Nini mikakati ya serikali kuongeza umri wa kustaafu kwa watu wenye ulemavu ikiwa watu hawa huchelewa kuanza shule kutokana na vikwazo mbalimbali.  https://youtu.be/i9C-4TW6dg4

SIMU.TV: Naibu waziri Mhe. Antony Mavunde atoa ufafanuzi wa lini serikali itaanza kutekeleza ahadi ya kuwalipa wazee pensheni. https://youtu.be/eIY39QPGWV0

SIMU.TV: Hii ndio mikakati ya serikali juu ya kukipandisha hadhi kituo cha afya cha Mangaka ili kuwa hospitali ya wilaya na kuwanusuru wananchi wa Nanyumbu.  https://youtu.be/qex559w6uIc

SIMU.TV: Nini mpango wa serikali kupeleka benki vijijini ili ziweze kuwakopesha wanawake walioko vijijini? Mhe. Kijaji afafanua. https://youtu.be/MwKHp3nq2yA

SIMU.TV: Mhe. Ussi Pondeza ahoji suala la maafisa wa wizara ya mambo ya ndani  kushughulika na utoaji wa visa badala ya maafisa uhamiaji kama ilivyokuwa mwanzo.  https://youtu.be/LNgjBvPf0v0 

SIMU.TV: Taarifa ya utekelezaji  na makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya nishati na madini kwa mwaka 2016-2017. https://youtu.be/uOK8IHtiKFQ

SIMU.TV: Serikali kuanza kukagua mikataba na kuchambua masuala ya kiuchumi katika kuingia mikataba ya utafutaji na ugawanyaji wa mapato ya mafuta na gesi asilia.    https://youtu.be/xFLTzKoJmFc

SIMU.TV: Fahamu juhudi zinazofanywa na wakala wa giologia nchini katika kuchora ramani ya kuhamasisha uwekezaji katika sekta ya madini.  https://youtu.be/oCR2Yjyb_Hw

SIMU.TV: Kamati ya nishati na madini bungeni yaeleza kusikitishwa na kusua kwa kupelekwa kwa fedha za miradi ya umeme vijijini REA.  https://youtu.be/hnlgfHy7Aw0

No comments:

Post a Comment