TTCL

EQUITY

Monday, December 14, 2015

'Happy Season' ya AY ndani ya X-Mas

Nyota wa muziki AY baada ya kutoa wimbo mpya alioubatiza jina 'Happy season' ukiwa ni maalum kwa mashabiki wote wanaosheherekea sikukuu ya X-Mas, mkali huyo aweka wazi nia na dhumuni lake la kutoa track hiyo wakati huu wa sherehe za X-Mas.
Kadi ya Nyota wa muziki nchini AY
 
AY amesema ikifika wakati wa sherehe za Xmas wengi husikiliza rekodi za magwiji wa muziki akiwemo Jim Reeves na wengineo wengi, ameamua kubadili mfumo huo kwa kutoa track hiyo ambayo kupitia enewz mkali huyo anaelezea kwa undani project hiyo mpya.

No comments:

Post a Comment