TTCL

EQUITY

Saturday, June 27, 2015

Orodha Ya Watu 6032 Walioitwa Kwenye Usaili nafasi za kazi polisi

Tembelea www.policeforce.go.tz/index.php/sw/ kuona orodha ya wahitimu wa kidato cha nne 2014 waliochaguliwa kushiriki USAILI wa kujiunga na jeshi la polisi tanzania 2015.
Bonyeza hapa majina na ratiba majina ya usaili
Ni vema ukachungulia shule za katani kwako ili ukimwona mhusika apewe taarifa ili akashiriki.
Usaili utaanza 03.07.2015.

BOFYA HAPA KUONA MAJINA HAYO 
Majina pia yapo kwenye tovuti ya TAMISEMI www.pmoralg.go.tz na Ofisi ya Kamanda wa Polisi
wa Mkoa/Wilaya iliyo karibu nawe ukatazame endapo jina lako ni miongoni mwa walioitwa
kwenye usaili.
Usaili utafanyika

No comments:

Post a Comment