TTCL

EQUITY

Thursday, October 30, 2014

MASIKITIKO : Msiba mwingine huu, Muigizaji Mzee Manento amefariki dunia.

MSIBA : Muigizaji Mzee Manento amefariki dunia.

Habari zilizotufukia hivi punde zinasema kuwa muigizaji Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Bado tunafuatilia kwa karibu habari hizi na chanzo cha kifo cha mzee wetu huyu.
Mzee Mnento atakumbukwa hasa kwa filamu alizocheza kiumakin na marehemu Kanumba. Hero of the church, Dar to lagos,fake pastor n.k pumzika kwa Amani
Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina. 

No comments:

Post a Comment