TTCL

EQUITY

Friday, November 22, 2013

HII HAIJAWAHI TOKEA: TAZAMA PICHA 7 ZA MATUKIO TOFAUTITOFAUTI BONDIA MIKE TYSON AKIMRUDISHIA SIKIO EVANDER HOLYFIELD'S BAADA YA MIAKA 16 ...

 HII ni Moja ya kihoja ambacho kiliwaacha midomo wazi watu wengi, ni baada ya Mike Tyson Kurudisha sikio alilomnyofoa mwenzake

Evander Holyfield... Sasa hivi ndivyo ilivyo kuwa...


Hapa Mchezaji wa ngumi Mkongwe akiwa anabisha hodi na kuingia nyumbani kwa Evander Holyfield kumkabidhi sikio lake huku akiwa na sura ya wasiwasi akiogopa anaweza pigwa sumbwi

"Chukua ndugu yangu nimekurejeshea Sikio lako"



Evander Holyfield akimpokea Mike Tyson huku akiwa na maneno mengi anayo yawaza asijue Tyson alimletea nini...


Evander Holyfield anamkaribisha hapa Mike Tyson anaomba msamaha kwa mpinzani wake ,, anamwambia hivi" Ebwana nisamehe sana mtu wangu hili sikio lako mimi nimelihifadhi kwa miaka yote hii 16, sasa nimekuletea"

"Oh my Goodness yaani kweli hii safi sana nililimisi sana sikio langu kwa Muda wa miaka yote 16, Asante sana" alisema Evander Holyfield


Anatabasamu
Evander Holyfield sasa wamerejea kuwa Marafiki wa mara nyengine tena



Hivi ndivyo Evander Holyfield alivyo katwa sikio

Picha na Daily mail... maelezo na This day Magazine

No comments:

Post a Comment